Lengo letu ni kuhamasisha watanzania wengi zaidi wajiajiri kupitia Youtube.

Script za simulizi
Tunafanya research na kuandika video script za simulizi za aina zote zinazovutia watazamaji kuangalia video nzima hivyo kuongeza watch hours za channel.

Monetization
Tunakusaidia kufikisha vigezo vya kuanza kulipwa youtube haraka. Tunatatua matatizo ya monetization kuanzia kuapply hadi pesa kuingia kwenye akaunti yako.

Content Planning
Tunakufanyia utafiti wa video aina gani uandae ili kupata watazamaji wengi zaidi. Hautakuja kuishiwa Idea za video gani uandae na kupload kwenye channel yako